Miaka minne baada ya kutoka na kutamba na album iliyopewa jina la Freedom, Akon yupo mbioni kuja tena juu. Safari hii anatengeneza album itakayokwenda kwa jina Stadium
ambayo mambo yakienda sawa itatoka rasmi tarehe 11 September…siku ile
ile ambayo wamarekani watakuwa wanakumbuka milipuko ya Twin Towers mwaka
2001. Na kama ambavyo ungehisi, single yake ya kwanza kutoka katika
album ya Stadium ameipa jina America’s Most Wanted. Usikilize hapo chini
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment